Msafara wa mashindano ya ndege 'kuibeba' Tanzania
Tanzania itanufaika kwa kutangaza vivutio vyake vya utalii kwenye masoko ya kimataifa baada ya kuteuliwa kuwa moja ya nchi nane barani Afrika, ambazo msafara wa mashindano ya ndege za zamani ujulikanao kama Vintage Air Rally