Majaliwa awavaa waajiri wanaonyanyasa wafanyakazi

Waziri Kassim Majaliwa akihutubia mkutano Mkuu wa TUCTA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haitawavumilia waajiri ambao hawatoi mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao na amewaonya waache tabia hiyo mara moja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS