Lulu apagawa kwa kupata nafasi EATV AWARDS
Msanii nyota wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael 'Lulu' ameelezea furaha yake ya kuwa msanii wa kwanza wa filamu nchini kupata nafasi ya kukabidhi tuzo katika tuzo za kwanza kubwa Afrika Mashariki za muziki na filamu, EATV Awards
