Wasanii hatupendani-Aisha Bui Msanii wa bongo movie nchini Aisha Bui amefunguka na kusema kuwa bongo movie haitaweza kuendelea kama wasanii wenyewe hawatapendana na kushirikiana, hivyo itakuwa vigumu sana kufanikiwa katika kazi zao za sanaa. Read more about Wasanii hatupendani-Aisha Bui