Ziara ya Shaka yazua jambo kwenye jimbo la CHADEMA
Ziara ya Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, wilayani Simanjiro, imezua jambo baada ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, James Ole Millya (Chadema), kuchachamaa akidai amekwenda kinyume na agizo la Rais la kuzuia mikutano ya hadhara ya siasa