Salama aja na Shabiki
Hakuna kitu kizuri kwenye soka kama stori za mashabiki kabla na baada ya mechi ambazo mara nyingi huwa zina nakshi nakshi za ufundi mwingi kuliko hata makocha na wachezaji na mara nyingi huwaacha waliofungwa wakiugulia na walioshinda wakifurahia.

