Auawa akiamulia ugomvi wa wapenzi Mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo chini Kenya katika eneo la Tudor Mombasa, ameuawa kwa kuchomwa na visu akijaribu kuwasuluhisha wapenzi waliokuwa wakigombana nyumbani kwao. Read more about Auawa akiamulia ugomvi wa wapenzi