Jeshi la Polisi lawashikilia watu wawili
Jeshi la Polisi Mwanza kushirikiana na TAKUKURU wamemkamata Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Anthony Bahebe na Mwanasheria wa Halmashauri hiyo Alphonce Sebukoto kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa fedha za umma

