Simba haikamatiki yatoa dozi Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Read more about Simba haikamatiki yatoa dozi