Kubenea adai anajua mipango ya vigogo CCM
Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea amefunguka na kudai wamefahamu mipango ya vigogo watatu wa CCM wanaotaka kuhujumu uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kinondoni huku akiwahakikishia kuwa hawataweza safari hii kufanya hivyo.