Simba kusafiri hadi Port Side Klabu ya soka ya Simba jana imefanikiwa kutinga hatua ya kwanza ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika ikishinda kwa jumla ya mabao 5-0 na sasa itakutana na Al Masry ya Port Side Misri. Read more about Simba kusafiri hadi Port Side