Salum Mwalim ahofia kubomolewa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni (CHADEMA) Salum Mwalimu amesema biashara ya kuvunjiwa nyumba wananchi wa jimbo hilo imefika mwisho kwa madai yeye binafsi hofu na adhabu ya kuvunjiwa anaifahamu kwa maana anaishi maeneo hayo.