Wafanyakazi 9 wa Chuo kikuu mbaroni
Idara ya Uhamiaji nchini inawashikilia watanzania 9, ambao ni wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala(KIU) jijini Dar es Saalam kwa madai ya kuzuia maofisa wa idara yao kutofanya kazi yao walipofika chuoni hapo.
