Mtu 'asiyejulikana' akamatwa na Polisi

Jeshi la Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamemkamata mwanamke mmoja mkazi wa 'Airport' ya zamani akiwa na mtoto mchanga jinsia ya kike aliyemuiba katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS