Filamu ya Masogange na Rammy yakutana na ngumi

Rammy Galis akiwa na Agness Masogange enzi za uhai wake.

Muandaaji wa filamu nchini, Timoth Conrad 'Tico' amempa makavu muigizaji maarufu wa Tanzania, Rammy Galis aliyeachia filamu yake wikiendi hii kuwa ubovu wa filamu yake utawakosesha pesa watu wengine wanaotegemea tasnia hiyo kuendesha maisha yao akiwemo yeye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS