Dr. Tiboroa kumrudisha Manji kivingine Yanga Dr. Jonas Tiboroa na Yusuph Manji Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Yanga, Dr. Jonas Tiboroa amejinasibu kurejesha mfumo wa zamani wa klabu hiyo ambao utaruhusu klabu kuwa na kampuni mbili za kibiashara. Read more about Dr. Tiboroa kumrudisha Manji kivingine Yanga