Nkamia kupingana na Rais Magufuli?
Wakati Mbunge wa Jimbo la Chemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Juma Nkamia akijiandaa kuzungumza na na viongozi wa chama chake ili kupata baraka juu ya kuendelea na mpango wake wa kupelekea bungeni hoja ya miaka 7 ya uongozi, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amesema

