Ado atoa siri kuhusu Nape, Bashe
Katibu wa Itikadi na Uenezi Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kwamba muswada wa sheria wa Vyama vya Siasa vipo vifungu vimetengenezwa maalumu kwa viongozi kama kina Nape Nnauye na Hussein Bashe ili kuwawekea mazingira magumu kutokana na yanayoendelea ndani ya chama chao.

