Mwinyi Zahera aondoka, Yanga yathibitisha

Kocha Mwinyi Zahera

Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa Afisa habari wake Dismas Ten imethibitisha kuwa kocha wa wake Mwinyi Zahera ataondoka nchini muda wowote kuanzia sasa ambapo atakwenda kwenye matibabu nchini Ufaransa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS