Aliyemrithi Nyalandu aeleza kutokukubalika jimboni
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Justine Monko kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametaja sababu ya wagombea Ubunge wa CCM, kuchaguliwa na wananchi wachache kwenye chaguzi za marudio kuwa ni kutokana na wananchi kuwa na uhakika na wagombea wa Chama hicho kwamba watashinda.