RPC azungumzia Aliyejiua nyuma ya Bodi ya korosho
Baada ya tukio la mtu mmoja kukutwa amejinyonga mtaa wa maduka makubwa mkoani Mtwara, kwenye kichaka kilichopo nyuma ya jengo la Bodi ya Korosho, Kamanda wa Polisi mkoani humo amesema kwamba mpaka sasa tukio hilo halina uhusiano na suala la korosho japo bado uchunguzi unaendelea.