Sababu za mume wa Amber Rutty kuanguka mahakamani
Msanii na 'video queen' kwenye video za wasanii, Amber Rutty ameeleza sababu iliyopelekea mume wake, Said Mtopali kudondoka ghafla mahakamani kuwa ni kutokana na hali ya kizunguzungu aliyokuwa akijisikia.

