Huyu ndiye Waziri anayejikomba kwa Magufuli
Akiwa tayari ameshatumikia Wizara mbili katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais Magufuli, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa yupo tayari kuitwa Waziri anayejikomba kwa Rais Magufuli.

