Serikali yafunga akaunti 191 zenye bilioni 3.8
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amebainisha kufungwa kwa muda akaunti za benki 191 zinazomilikiwa na wakulima wa Korosho lengo likiwa ni kuhakiki wamiliki wa korosho hizo ambazo zilinunuliwa na serikali.