Wababe wa Simba wapelekwa Mbeya Shiza Kichuya akiwania mpira na moja ya wachezaji wa Mashujaa FC. Klabu ya soka ya Mashujaa FC kutoka Kigoma imepangwa kucheza na Mbeya City ya jijini Mbeya katika mzunguko wa nne na wa tano wa michuano ya Kombe la shirikisho Tanzania. Read more about Wababe wa Simba wapelekwa Mbeya