Zahera ampa mtihani wa kwanza Haruna Moshi
Baada ya kurejea nchini akitokea Ufaransa wiki hii na kuungana na kikosi cha Yanga jijini Mbeya kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbeya City, hatimaye kocha Mwinyi Zahera amemwanzisha Boban kwenye kikosi cha kwanza.