Kigogo wa CCM afariki Dunia
Waziri wa zamani wa kipindi cha Serikali ya Mwalimu Julius Nyerere Pancras Ndejembi amefariki Dunia leo Desemba 29, 2018 katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu dhidi ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.