Mwanamuziki Oliver Mtukudzi afariki dunia Oliver Mtukudzi enzi za uhai wake Staa wa muziki wa Jazz, Oliver Mtukudzi amefariki dunia mchana leo Januari 23, 2019 huko mjini Harare Zimbabwe. Mtukudzi amefariki akiwa na miaka 66. Read more about Mwanamuziki Oliver Mtukudzi afariki dunia