Mbowe atoa ahadi kwa vyama akiwa gerezani

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Seif Sharif Hamad, ameweka wazi mipango ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe baada ya kutoka gerezani ni kuungana na vyama vingine vya upinzani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS