Kesi ya ubakaji ya Ronaldo, Polisi wataka DNA
Mwanasheria wa supa staa wa klabu ya Juventus, Christiano Ronaldo ameeleza kuwa mamlaka ya polisi Jijini Las Vegas, nchini Marekani imeomba kibali cha kupata sampuli ya nyota huyo kwaajili ya uchunguzi wa kesi ya ubakaji inayomkabili.

