Wachezaji Simba kujazwa noti taifa Simba Inaelezwa kuwa wachezaji wa Simba wameahidiwa bonasi kubwa zaidi ya pesa na uongozi wa klabu endapo watafanikiwa kuwaondoa Nkana Red Devils kwa kupata ushindi katika mchezo wa marudiano Jijini Dar es salaam. Read more about Wachezaji Simba kujazwa noti taifa