Kwa umri wangu kusema 'niko single' ni uongo Mwasiti na Roma Msanii wa kike katika kiwanda cha Bongo Fleva, Mwasiti amesema kuwa kwa sasa hawezi tena kudanganya katika 'interview' kuwa yuko single kama zamani kwasbabu ya umri wake. Read more about Kwa umri wangu kusema 'niko single' ni uongo