Yanga yamaliza salama, kuitangulia Simba masaa

Wachezaji wa Yanga na Simba kwenye mazoezi.

Klabu ya soka ya Yanga imemaliza maandalizi ya mwisho salama bila majeruhi kuelekea mchezo wake wa kesho dhidi ya Stand United ambao utachezwa saa 10:00 jioni, masaa manne kabla ya mechi ya AS Vita Club na Simba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS