Manara amvaa Mwinyi Zahera kuhusu Kakolanya Haji Manara na kocha, Mwinyi Zahera Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara ameibuka na kutoa maoni yake juu ya mlinda mlango wa Yanga, Beno Kakolanya ambaye amekataliwa na kocha wa klabu hiyo, Mwinyi Zahera. Read more about Manara amvaa Mwinyi Zahera kuhusu Kakolanya