Baada ya Yanga kutolewa Manara atupa lawama zake
Baada ya Yanga kutolewa kwenye michuano ya SportPesa na Kariobangi Sharks kwa kufungwa mabao 2-3, msemaji wa Simba Haji Manara amesema yote amesababisha Jacob Massawe ambaye alivunja mwiko wa Yanga kutofungwa msimu huu.

