Ajali ya basi yaua mkoani Kigoma

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 42 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Fikoshi linalofanya safari zake kati ya Kigoma na Mwanza, iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Uvinza mkoani Kigoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS