"Afrika ina laana” – Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, amesema umasikini wa Bara la Afrika unatokana na laana tuliyonayo na kuoneana wivu pale mtu anapofanya jambo la maendeleo, suala ambalo linakwamisha hadi kwenye elimu. Read more about "Afrika ina laana” – Paul Makonda