Yahya Zayd na timu yake waondolewa Klabu Bingwa Mshambuliaji, Yahya Zayd (kushoto) pamoja na wachezaji wa Ismaily (kulia) wakishangilia Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limeiengua klabu ya Ismaily ya nchini Misri kwenye orodha ya timu za Kundi C Ligi ya Mabingwa barani humo. Read more about Yahya Zayd na timu yake waondolewa Klabu Bingwa