Simba yashiriki mazishi ya mwanachama aliyefariki
Klabu ya soka ya Simba imeshiriki kikamilifu katika mazishi ya mwanachama wake Kessy Rajab, ambaye alifariki Desemba 23, 2018 siku ambayo Simba ilikuwa inacheza na Nkana FC na kushinda kwa mabao 3-1 na kufuzu hatua ya 16 bora.