Majaliwa atoa neno kuhusu mishahara ya watumishi Waziri Mkuu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo wa wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma na kuitaka kufanya kazi kwa weledi. Read more about Majaliwa atoa neno kuhusu mishahara ya watumishi