Lady Jay Dee asema akishiba tu leo anaongeza kasi
Ikiwa ni siku ya Krismasi leo watu mbalimbali wameungana na familia, marafiki, ndugu na jamaa kusherehekea sikukuu hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo huku msanii Lady Jay Dee akiwazodoa baadhi ya watu walioshinda mtandaoni.