Matokeo kidato cha nne yamtesa Polisi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amemfukuza kazi askari wa jeshi la polisi aliyekuwa akihudumu kwenye kituo cha Malinyi, PC Hamisi kwa kuhusika kwenye udanganyifu wa mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka uliopita.

