Jay Dee afunguka alivyotoboa kimuziki Lady Jay Dee Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, mwanadada Lady Jay Dee amefunguka namna alivyopata ofa kurekodi wimbo wake wa kwanza ambao ulimfungulia njia ya mafanikio yake hadi hivi sasa. Read more about Jay Dee afunguka alivyotoboa kimuziki