Simba yafanya mabadiliko ya benchi Kikosi cha Simba na makocha wake Klabu ya soka ya Simba inadaiwa kufanya mabadiliko ya meneja wa kikosi chao, ambapo kwa mujibu wa chanzo ni kwamba meneja huyo mpya ameteuliwa na bodi ya klabu hiyo. Read more about Simba yafanya mabadiliko ya benchi