Kabichi, tikiti, tairi zinatumika kutorosha madini Picha ya kabichi, tikiti na tairi Wadau wa sekta ya madini nchini wameeleza kusikitishwa na namna ambavyo biashara ya madini inavyoendelea kuendeshwa kimagendo huku wakaguzi wa madini na Jeshi la Polisi wakiwa hawazijui njia hizo. Read more about Kabichi, tikiti, tairi zinatumika kutorosha madini