Daktari aeleza chanzo kifo cha Faru Fausta
Kwa mujibu wa taarifa ya upasuaji uliofanywa na jopo la madaktari wa wanyamapori na wataalamu wengine wa uhifadhi kutoka taasisi ya utafiti wa Wanyamapori nchini na hifadhi ya Ngorongoro, wamesema Faru Fausta alifikwa na mauti, baada ya moyo wake kushindwa kufanya kazi vizuri.