Familia 36 zawapima DNA watoto ili kumjua Baba Meneja ofisi ya mkemia mkuu wa serikali kanda ya kati Mussa Kuzumila Ofisi ya Mkemia Mkuu Kanda ya Kati imepokea sampuli 36 zakupima vinasaba vyakujua uhalali wa Baba wa watoto (DNA). Read more about Familia 36 zawapima DNA watoto ili kumjua Baba