Mwalimu kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, imempandisha kizimbani Emanuel Mbembela (42) mwalimu wa Shule ya Sekondari Nambizo, kwa kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne. Read more about Mwalimu kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi