Wallace Karia aeleza alivyoupata Urais wa CECAFA
Rais wa shirikisho la soka nchini (TFf) Wallace Karia, ambaye hivi sasa pia ni Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), ameeleza jinsi alivyoanza kufikiria kuongoza CECAFA hadi kupata nafasi ya kuwa Rais pamoja na mipango yake.