Billnass ataja kinachomjia akimsikia Nandy

Billnass na Nandy wakiwa pamoja.

Msanii anayetamba na ngoma ya mafioso Billnass, ameiambia EATV & EA Radio Digital kuwa hajaona post ya Nandy ambayo aliiweka katika mtandao wa Instagram ikisema anataka kuwa mke wa mtu "Wifey to be".

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS